Wengi wangapoNina kuku wengi wa kienyeji nataka kuwauza nipo Gonja Maole- Same, Kilimanjaro kama kuna mtu anafahamu soko zuri la kuku kwenye mikoa nilio taja anijuze tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hawajawa kuku hao, subiri wafike miezi 8
Hahaa umekatishwa tamaa na majibuUliza tutajibiana hivyo hivyo tu
Kweli mkuuKuwa mpole unapofanya biashara.... Jaribu kujibu tu kwa weledi... Neno wingi lina tafsiri pana pia ni muhimu kutaja umri wa hao kuku pia... Watu wana matumizi mbalimbali
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]