Natafuta soko la kuuza konokono na jongoo wa shambani

Tayukwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
2,178
Reaction score
4,410
Rejea na somo hapo juu, nahitaji msaada wa kupata soko la mtu mmoja mmoja au kampuni ambayo inaweza kununua konokono na jongoo wa shambani na sio wale wa baharini. Ukinisaidia kupata soko utakuwa umenisaidia sana. Soko liwe ndani au nje ya Tanzania.
 
NJE YA TANZANIA KUNA NIGERIA WANAPENDA SANA NA NYAMA YAO HAIPO WANA BEI SANA HUKO, LAKINI HAWATAKI WA KUSAFIRISHWA LABDA UWA KAUSHE FRIED... ULIZIA NA MSUMBIJI.... Uko wapi uje lima hapa nilipo wapo wakushanta kutokana na baridi Kali ya hapa
 
Nipo dsm kwa sasa
 
Back
Top Bottom