Natafuta Soko la mahindi zaidi ya tani 600 yapo Kigoma

Natafuta Soko la mahindi zaidi ya tani 600 yapo Kigoma

Ndege Tausi

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
992
Reaction score
476
Mimi ni mkulima ninaishi vijiji vya mwambao wa ziwa Tanganyika. Mimi na wenzangu tunatafuta soko la kuuza mahindi yetu zaidi ya tani 600 ambayo tumevuna. Ninaomba msaada au ushauri wenu wa jinsi ya kuuza haya mahindi, hata ikiwezekana nchi za jirani DRC na Burundi. Asanteni
 
nenda angalia mmasoko yapo vip......utajua ufanye nn......nipo geita gunia la debe 6 lina.. 50elf..... angalia na pengne hata uuze reja reja
 
Back
Top Bottom