Mimi ni mkulima ninaishi vijiji vya mwambao wa ziwa Tanganyika. Mimi na wenzangu tunatafuta soko la kuuza mahindi yetu zaidi ya tani 600 ambayo tumevuna. Ninaomba msaada au ushauri wenu wa jinsi ya kuuza haya mahindi, hata ikiwezekana nchi za jirani DRC na Burundi. Asanteni