Natafuta soko la mashudu meusi ya alizeti

Natafuta soko la mashudu meusi ya alizeti

Dream Touch

Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
25
Reaction score
46
Nimewaza kuanzisha biashara ya kutoa mashudu mikoani na kuyauza Dar.

Naomba kujua soko na changamoto ya biashara hii.
 
Njoo Dar upite kwenye mashine za kutengeneza chakula cha kuku ukitafuta soko. Ama lete mzigo uwakabizi madalali wakuuzie.
 
Nimewaza kuanzisha biashara ya kutoa mashudu mikoani na kuyauza Dar.

Naomba kujua soko na changamoto ya biashara hii.
Kikubwa kujua masoko ya kuuzia hayo mashudu kwa dar tembelea tandale, River side, yaani maeneo yanayosaga chakula Cha mifugo ata mimi nauza vyakula vya mifugo pia ila bado biashara ni ndogo

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakati soko linapanda kuna mda soko lina shuka. Na kunamda yanakuwa mengi biashara inakuwa ngumu
Nimewaza kuanzisha biashara ya kutoa mashudu mikoani na kuyauza Dar.

Naomba kujua soko na changamoto ya biashara hii.
 
Back
Top Bottom