Natafuta soko la mayai ya kwale.

Natafuta soko la mayai ya kwale.

Hao ndege sasa sio deal tena. Tray@ 10000/9000, bora kuku wa asili
 
mkuu hilo soko umelichelewa sana limeshakufa tayari unaweza tumia na familia
 
hapo mkuu ulichelewa kware na mayai yake sio habari ya mjini tena..kama ilivyokuwa mafuta ya ubuyu badala ya tiba tukaambiwa yanaleta cancer
 
Pole sana ndugu yangu. Treni lilishaondoka kituoni muda mrefu. We tafuta unga ule ugali na nyama ya hao ndege. Mayai wape ndugu, jamaa na marafiki.
 
[emoji87] kumbe bado watu wanauza hii product, kula na wanao tuu mkuu
 
Pole sana ndugu yangu. Treni lilishaondoka kituoni muda mrefu. We tafuta unga ule ugali na nyama ya hao ndege. Mayai wape ndugu, jamaa na marafiki.
Hahahaaaa... Hatari saana...
 
Hahaha mdau ndio anazinduka saa hvi hela zimeshaisha. Pole sanaa. Kuna mshkaj alianza wafanya mboga mmoja mmoja wakaisha wote.
 
Back
Top Bottom