Mwamapinduzi halisi
Member
- Oct 16, 2015
- 9
- 5
Wadau, nimeanzisha shamba la nanasi heka 5, three years ago, maeneo ya Misigi( 17 Km from Chalinze). Sasa lina maximum production. Changamoto yangu ni soko. Nahitaji masoko ya Arusha, Moshi, Zanzibar na Kenya, ndio nasikia bei ni nzuri. Haya masoko ya karibu nayapata, ila bei, wananilalia sana. Yoyote anayeweza nisaidia tafadhali awasiliane nami kwa namba 0672 215778