Mwamapinduzi halisi
Member
- Oct 16, 2015
- 9
- 5
Kilimo bila viwanda vya usindikaji ni changamoto. Mdau kama huyu alitakiwa kupeleka matunda yake kiwandani na kuuza kwa tani, ila cha ajabu anatafuta masoko kwenye sehemu ambazo zina jam ya mananasi. Bongo kilimo ni adhabu.Sawa
Hongera Sana Kilimo Ni Uti Wa Mgongo
Mchawi CCMKilimo bila viwanda vya usindikaji ni changamoto. Mdau kama huyu alitakiwa kupeleka matunda yake kiwandani na kuuza kwa tani, ila cha ajabu anatafuta masoko kwenye sehemu ambazo zina jam ya mananasi. Bongo kilimo ni adhabu.
Pamoja sanaSawa
Hongera Sana Kilimo Ni Uti Wa Mgongo
SawaHongera ndugu, jaribu kifanya tafiti vizuri mtandaoni kupata taarifa sahihi kuhusu wateja au wanunuzi,
Kilimo bila viwanda vya usindikaji ni changamoto. Mdau kama huyu alitakiwa kupeleka matunda yake kiwandani na kuuza kwa tani, ila cha ajabu anatafuta masoko kwenye sehemu ambazo zina jam ya mananasi. Bongo kilimo ni adhabu.
Hii nimeichukuaNaona wanachofanya wauzaji wa nanasi wanaleta Arusha soko la Kilombero na wanauzia juu ya hiyo Canter bila kushusha chini unamtafuta dalali anataja bei kwa bei ya soko iliyopo utauza tu maana hapa Nanasi linatembea sana..
Kwa kipindi hiki sidhani kama zinazidi siku tatu kumaliza mzigo wa Canter ukiweza safari mwenyewe mpaka Arusha nenda hapo Kilombero siku moja tu utasoma mchezo ili ukiwa na mzigo iwe rahisi kuuza..Hii nimeichukua