Natafuta soko la ndani la madini haya

Natafuta soko la ndani la madini haya

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Salaam ndugu,
Mimi ninayo TIGER EYE,SUGILITE,PYRITE,CHRYSOCOLLA,QUARTZ,LAPIS LAZULI AND CARNELIAN.Mwenye kufahamu soko au kununua madini hayo.Tuwasiliane.NB:Kama kuna mwenye taarifa za bei zake na mahali yanapopatikana zaidi amwage data.
 
Attachments

  • bosco gemstones.jpg
    bosco gemstones.jpg
    35.9 KB · Views: 206
Salaam ndugu,
Mimi ninayo TIGER EYE,SUGILITE,PYRITE,CHRYSOCOLLA,QUARTZ,LAPIS LAZULI AND CARNELIAN.Mwenye kufahamu soko au kununua madini hayo.Tuwasiliane.NB:Kama kuna mwenye taarifa za bei zake na mahali yanapopatikana zaidi amwage data.

Hi bro hayo madini yapo walakin sijui yanakopatikana huwa wanaleta tunazikusanya km unazihitaji unaweza pata kiasi ira na moro
 
Hi bro hayo madini yapo walakin sijui yanakopatikana huwa wanaleta tunazikusanya km unazihitaji unaweza pata kiasi ira na moro
Mkuu sijakusoma vizuri.Unauza au unanunua hayo madini?
 
mwenye kutaka au anamteja anitafute inbox au kwa namba 0656555511
 
Attachments

  • th (1).jpg
    th (1).jpg
    12.4 KB · Views: 45
  • th.jpg
    th.jpg
    5.7 KB · Views: 38
dodoma cha mkoloma
Dom na moro hiyo Sema biashara sahvi ngumu sana wanunuzi hakuna kutoka na na katazo la kusafirisha mawe rough jamaa wanataka usafirishe cutted,Sasa sunstone ukifanyia cutting utatumia garama kubwa na unauzaje?Hawa jamaa bado kuna mambo mengine hawajui
Huwezi kukurupuka ukamua wa safiri she mawe yaliyokatwa wakati viwanda vya ukataji hakuna kuna watu wanashindwa mahauri bwana mkubwa kuna mambo mengine hayaitaji kuongozwa na Wanasiasa

Ova
 
Sugilite kg1 ni balaaa sahvi inavuka $5000 per kg yanatoka msumbiji karibu na zimbabwe

Ova
 
Nataka lapis lazuli kwa personal use kipande kimoja tu cha gram 3,utaniuziaje?
 
Back
Top Bottom