Natafuta soko la Oil Chafu (Crude Oil) Jijini Dar

WIZ MAN

Member
Joined
Apr 19, 2020
Posts
7
Reaction score
3
Asalaam alaykum nyote i hope mu wazima kwa ambaye afya imeyumba like me M/Mungu atuhafu amiin..

Wakuu naombeni mwenye kujua soko/viwanda/mahali wanapo nunua Oil Chafu (Crude Oil) na bei yake kwa hapa Jijini Dar.

Natumai wajuvi wapo humu.

Ahsanteni
 
Behaviourist...ndio ni oil iliyokushafanyiwa matumizi
 
Write your reply...oil imekutwa haina coronavirus...ila mapapai,mafenesi na mbuzi wapatikana wapo positive duh! coronavirus ni shida asee
 
Asalaam alaykum nyote i hope mu wazima kwa ambaye afya imeyumba like me M/Mungu atuhafu amiin..

Wakuu naombeni mwenye kujua soko/viwanda/mahali wanapo nunua Oil Chafu (Crude Oil) na bei yake kwa hapa Jijini Dar.

Natumai wajuvi wapo humu.

Ahsanteni
Mbona hujaweka mawasiliano
 
Asalaam alaykum nyote i hope mu wazima kwa ambaye afya imeyumba like me M/Mungu atuhafu amiin..

Wakuu naombeni mwenye kujua soko/viwanda/mahali wanapo nunua Oil Chafu (Crude Oil) na bei yake kwa hapa Jijini Dar.

Natumai wajuvi wapo humu.

Ahsanteni
Mkuu sidhani kama jina crude oil linaendana na unachokimaanisha. Crude oil ni mafuta ambayo hayajachakatwa,wewe unamaanisha mafuta yaliyochakatwa na yameshatumika.
 
Asalaam alaykum nyote i hope mu wazima kwa ambaye afya imeyumba like me M/Mungu atuhafu amiin..

Wakuu naombeni mwenye kujua soko/viwanda/mahali wanapo nunua Oil Chafu (Crude Oil) na bei yake kwa hapa Jijini Dar.

Natumai wajuvi wapo humu.

Ahsanteni
Hii yenye COVID19?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom