Nanunua oil chafuAsalaam alaykum nyote i hope mu wazima kwa ambaye afya imeyumba like me M/Mungu atuhafu amiin..
Wakuu naombeni mwenye kujua soko/viwanda/mahali wanapo nunua Oil Chafu (Crude Oil) na bei yake kwa hapa Jijini Dar.
Natumai wajuvi wapo humu.
Ahsanteni