LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Unao wa ngapi? Unawauzaje? Unapatikana wapi? Weka namba za simu watu wakutafuteNapenda kujua nitapta wapi soko la simblisi haijalishi soko la nje au ndani ninao wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unao wa ngapi? Unawauzaje? Unapatikana wapi? Weka namba za simu watu wakutafuteNapenda kujua nitapta wapi soko la simblisi haijalishi soko la nje au ndani ninao wengi
safi sana mkuu
https://chat.whatsapp.com/GXkWJbupCpk0XFkUw5nI9k tangaza nasi bure https://chat.whatsapp.com/GXkWJbupCpk0XFkUw5nI9kNapenda kujua nitapta wapi soko la simblisi haijalishi soko la nje au ndani ninao wengi
Unauzaje, uko wapi?Napenda kujua nitapta wapi soko la simblisi haijalishi soko la nje au ndani ninao wengi
Hawa viumbe wanafanya sana mapenzi, wanazaana ni balaa mida wiki mbili tuKumbe ndo hawa...iIikua ukimuudhi mtu utaskia anakujibu"we simbilisi unawashwa"?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nimewapenda. Nyama yao ni tamu namimi niwafuge?Hawa viumbe wanafanya sana mapenzi, wanazaana ni balaa mida wiki mbili tu
Sent using Jamii Forums mobile app