Natafuta soko la tangawizi

Natafuta soko la tangawizi

vijola

Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
22
Reaction score
27
Wakubwa shikamoo!!! Kwa wale wadogo hamjambo!!!! Na wale tunaolingana mambo niaje.....

Kwanza nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi wa rehema usio na kikomo kwa kutujalia tumeamka salama siku ya leo ....niende kwenye mada moja kwa moja .

Mimi najihusisha na shughuli za kilimo cha tangawizi kwa muda mrefu kidogo na kimekua kikinisaidia kuendesha maisha ya kila siku lkn changamoto iliyopo hakuna soko.

Nimeamua niwashilikishe kwa sababu imefika hatua wakulima tunaumia sana lakini kuna watu wanaitwa MADALALI ..HAWA JAMAA NI HOMA YA JIJI ...YN NI TATIZO

Mimi napatikana kigoma na tangawiz yetu kwa asilimia kubwa tunawauzia madalali ambao mabosi wao wengi wanatokea CONGO, BURUNDI, RWANDA NA UGANDA na ndio wanaamua kupanga bei wanayotaka ili wao waweze kunufaika.

Maelezo ni mengi sana yaani siwezi kueleza yote lakini ombi langu kwenu mnisaidie kupata boss wakuja kununua moja kwa moja pasipo kupitia kwa dalali.au mwenye connection na jamaa wa nchi jilani tusaidiane ata akitaka tani 100 zinapatikana.asanten nashukuru na Mungu awabariki.

Screenshot_20210406-164754.jpg

 
Wailizie wale wanaotengeneza dawa za Corona....NEMR...sijui nimepatia Hilo jinaa au
 
Unaweza weka namba yako ya simu ili tuwasiliane tufanye biashara
 
Back
Top Bottom