Natafuta soko la ubuyu

Natafuta soko la ubuyu

Joined
Jul 20, 2024
Posts
42
Reaction score
98
wakuu baada ya watu kuwa na maswali mengi juu ya bei,basi naomba tuwekane sana,ipo hivi debe moja ni 5000,na gunia ni 35,000,but ukizingatia sehem ninayoifata kdg kuna ka umbali so gunia lita cost 38,000,.ubuyu ni ule mweupe raw material kabsa,upo wa kutosha even kwa matumiz ya kiwandani,so kama unalijua soko lilipo ama wewe mwenyew ni mfanyabiashara unatamani tushirikiane kwenye biashara hii,karibu.mawasiliono 0623116498,location ni kibaigwa,dodoma
 
Tafuta mtu kule Ungujani akuunganishe na kiwanda cha marehemu babu Issa (a.k.a ubuyu wa babu Issa)

Hao wanaweza kununua kwa magunia, mwingine simjui ila mwaka fulani nilipokuwa huko nilipelekwa eneo la mji mkongwe (a.k.a stone town) niliona kwa ndani wanapika kwa masufulia makubwa sana.
 
Back
Top Bottom