mzawa_original
Member
- Jan 2, 2019
- 9
- 4
Unalimia wapi au unapatikana wapiNdugu natarajia kuvuna nyanya zangu kwa kipindi hiki cha January natafuta soko nzuri kwa tenga kuanzia 50 Na kuendelea nakuletea ulipo kikubwa maelewano
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nipo hapa dar ila mzigo unatoka mkoaniUnalimia wapi au unapatikana wapi