Natafuta soko nzuri la kuuza nyanya

Natafuta soko nzuri la kuuza nyanya

mbona nyanya bei iko juu kwa sasa, kwa masoko ya dar es salaam , ile kreti ya mbao inaenda mpaka 40k, njoo mjini ongea na madalali , faster mzigo unatoka huo
 
Back
Top Bottom