Ok....haya tunachimba sehemu za matale,morogoro ni ruby corrundumn(ruby nut)Hata dodoma wilaya ya mpwapwa kijiji kinaitwa rudi kuna mlima wanaita nyarumba kuna mzigo wa kutusha tu hapo
Nipo Dar unaweza kunitumia sample kama nusu kg?Ok....haya tunachimba sehemu za matale,morogoro ni ruby corrundumn(ruby nut)
Huwa nawauzia sana wahindi wanaotoka jaipur
Ningependa pata sample ya huko dodoma nionee
Ok poa mkuu.Ntaku pm namba yangu
Kilo nauza 3000.....nnayo na nnauwezo ya kitz supply ton nyingi tu Mkuu Kama una mnunuzi mzuri anayeyahitaji ni pm
Wahindi wale wa dar nshawauziaga sana wengi wmesafiri sólo haliko Poa.....sahv
Tormaline ime stop maana soko la hongkong limeshukaa la mawe limebaki la indiaaa