Natafuta soko zuri ya haya mawe

Natafuta soko zuri ya haya mawe

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
Habari zenu wana JF, mwenye kufahamu soko zuri ya ruby nut..ni mawe(madini) yanayo uzwa kwa kg ani pm.kana mnunuzi au middleman anajua soko tupeane info tuone kama tunaweza fanya biashara.nna uwezo wa kuoata mzigo mkubwa sana
 
Attachments

  • 20140612_102724.jpg
    20140612_102724.jpg
    1,001 KB · Views: 210
  • 20140612_102653.jpg
    20140612_102653.jpg
    572.4 KB · Views: 182
Izo ni zile za kilosa au mozambique
 
wenye idea mnijuze basi kama uko hongkong au gwangzhoue niabarishe najua nkipata soko na mnunuzi wa uhakika mambo yatakuwa safi
 
Mrangi bado unayo hayo mawe na unauzaje kwa kilo
Kilo nauza 3000.....nnayo na nnauwezo ya kitz supply ton nyingi tu Mkuu Kama una mnunuzi mzuri anayeyahitaji ni pm
 
Hata dodoma wilaya ya mpwapwa kijiji kinaitwa rudi kuna mlima wanaita nyarumba kuna mzigo wa kutusha tu hapo
Ok....haya tunachimba sehemu za matale,morogoro ni ruby corrundumn(ruby nut)
Huwa nawauzia sana wahindi wanaotoka jaipur
Ningependa pata sample ya huko dodoma nionee
 
Ok....haya tunachimba sehemu za matale,morogoro ni ruby corrundumn(ruby nut)
Huwa nawauzia sana wahindi wanaotoka jaipur
Ningependa pata sample ya huko dodoma nionee
Nipo Dar unaweza kunitumia sample kama nusu kg?
 
Kilo nauza 3000.....nnayo na nnauwezo ya kitz supply ton nyingi tu Mkuu Kama una mnunuzi mzuri anayeyahitaji ni pm

Wanunuzi wa rubynut walikua wa wili now kama wame stop hivi
 
Wanunuzi wa rubynut walikua wa wili now kama wame stop hivi
Wahindi wale wa dar nshawauziaga sana wengi wmesafiri sólo haliko Poa.....sahv
 
Wame stop wote now mawe wa Mozambique ndio yanaenda sana...hata Congo imeyumba
Nlikuwa huko mwezi uliyopitaaa....hazonite cocka wanafataaa wengine ruby
 
Wame stop wote now mawe wa Mozambique ndio yanaenda sana...hata Congo imeyumba
Tormaline ime stop maana soko la hongkong limeshukaa la mawe limebaki la indiaaa
 
Back
Top Bottom