Natafuta soko

Natafuta soko

fortunho

Senior Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
137
Reaction score
53
Wana j ninaproduct zangu ambazo ni man made na zimesambaa sana maeneo mengi tanzania
Descriptions:
1😛ochi za kiume
>za kushona na kufuma(ukiziona zilizotobolewa na kupitishwa uzi ni part of the product)
2:Huwa naziuza kwa jumla jumla kwa bei ya 800/=mpaka 900/=
3:Kwenye market unaweza ukaziuza kwa bei ya kuanzia 2000/= mpaka 3000/=
4:Mauzo ni kwa order ambapo unaweza kutengenezewa pochi kuanzia 150 nakuendelea
4:Ntakufuata ulipo kwa wakazi wa dar es salaam unaye hitaji mzigo
5😛ayment ni cash wise

UKIZIHITAJI CONTACT ME VIA 0768592999
 
Hongera...but weka picha uweze kutushika vizur. Hongera tena huwa napenda vijana wa kijituma na kuchangamkia fursa.Jitahidi kufahamu mbinu za marketing itakurahisishia kazi yako.

N.B....Boresha bandiko lako.
 
Hiyo hapo mkuu
 

Attachments

  • 1405664636627.jpg
    1405664636627.jpg
    60.7 KB · Views: 115
  • 1405664658215.jpg
    1405664658215.jpg
    100.8 KB · Views: 111
  • 1405664686188.jpg
    1405664686188.jpg
    88.8 KB · Views: 111
Mzigo kiujumla wana jamii
 

Attachments

  • 1405865823313.jpg
    1405865823313.jpg
    147.4 KB · Views: 87
Back
Top Bottom