Natafuta soulmate

Natafuta soulmate

ahahahha!promo at work

Siyo ' Promo ' bali nimekutahadharisha tu mapema ili usije ukaiona inatokezea katika ' mdomo ' baada ya kupita hadi ' Kolomero ' lako na ukashangaa. Umeshawahi kukutana na ' Mikuyenge ' Dar to Kigoma Dada? Una uzoefu nayo? au mwenzangu umezoea tu kukutana na ' Mikuyenge ' Dar to Msata?
 
hhahah kwa maneno yako tu nadhan mie ndo ntakuwa ticha wako ! hakunaga cha dar msata walakigoma !ishu ni techniques tu mdogo wangu
 
hhahah kwa maneno yako tu nadhan mie ndo ntakuwa ticha wako ! hakunaga cha dar msata walakigoma !ishu ni techniques tu mdogo wangu

Dada nakuonya mara ya pili hapa ni Dar to Kigoma na siyo Dar to Msata je utauweza mziki huu lakini? Mimi sitaki murder case baadae tafadhali.
 
achana naye huyo sometime anajitoa ufahamu !namheshim na sitamjibu vby !usijal kaka we endelea na yako mie mwanamke halisia !sijui kipi kimemfanya ahisi mie ni wewe !mxiew
[emoji23][emoji23] mnafanana sura labda...
 
[emoji23][emoji23] mnafanana sura labda...

hahaha mie sijawah piga picha shamba km vile yeye alivyopiga !teh teh ! yaan nakereka sana mtu anisukumizie jinsia mpya kwangu na ninavyoipenda jinsia yangu nahisigi km NUX NA MIKOSI TUPU !
bdw nakumiss demi !
 
Huishi vituko shoga ndo maana nakupenda. Miss u zaidi, nimekuwa busy naingia jf kwa kudonoadonoa!
 
Huishi vituko shoga ndo maana nakupenda. Miss u zaidi, nimekuwa busy naingia jf kwa kudonoadonoa!

yaan ht mm leo ndo nimepata wasaa aisee !najihs kukonda aisee !najua upo busy jana kidg nikuchek nami nikawa nimejichokeaaaa! haya mama kila la heri!
 
Inaweza ikawa kwa fikra za kawaida ukajiuliza nikaapo hawapo mpaka nitafute hapa?, lakini when you search someone to be your wife your never know utakutana nae kwenye mazingira yapi!, natafuta ambaye even her eyes closed but her heart still open. Vigezo no kuanzia maji ya kunde in nature, asitumie mkorogo, umri kuanzia miaka 22 mpaka 33, elimu kuanzia form four na kuendelea, dini muislamu, awe na real love, a kind of love no matter what happen but we can be forever. Only a serious girl are welcome.
Thanks for understand kkwa taarifa zaidi au ufafanuzi wa ziada p.m
Komaaaaaaaaah babu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom