Natafuta Soulmate

Natafuta Soulmate

Lemonade!try ur luck kwangu!i'm also in needy and insearch of soulmate!pls how can we get into contact and make our heart firm together?pls give me the information if till ur in need.
 
You may call me to 0713080796 am in Dsm degree holder ,my religion am christian (RC)
 
Mi mdada wa miaka 27 i'm a single mother i'm trying my luck here since its very difficult ukishazaa kupata mpenzi.
Sifa zangu ni kuwa nina muonekano wa kuridhisha, imani yangu ni mkristu RC makazi yangu ni Mwanza-Dar interest zangu ni kusoma, kuangalia documentaries sports, news etc, i have a great sense of humor and am humble too
Sifa zake awe na muonekano wa kuridhisha asiwe above 32 na pretty much like me, humble, funny, fun but not to much of it.
I hope you are out there


hebu niPM au nitakuwa nimecherewa....?
 
We rusha tu CV yako..mi naona nakaribia kukubaliwa. Ukichelewa shauri yako!
Nalipamba pamba CV kwanza mkuu, hii nafasi si ya kukosa kabisa , namuambatanishia na lile foto langu nililopiga ubalozi wa msumbiji. Watanikomajee wapinzani.
 
swahiba, mtoto katega mno aisee... mimi naangali ile avatar tu nachoka

sie tuandae jury tu, hapa lazima kuna kesi mbili tatu za vidume mkuu

aisee....
#
heheh Swahiba kwa hii hali inavyokwenda usje ukashangaa ikawa hata mods washajichanganya na sisi hapa kwa kutumia ID zao nyengine. Unaona mtu ana jina la ajabu ajabu kumbe PAW anapapatua mchumba lemonade.
 
Back
Top Bottom