Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,655
- Thread starter
-
- #41
We rusha tu CV yako..mi naona nakaribia kukubaliwa. Ukichelewa shauri yako!
Inamaana unanidisqualify mapema? Hutaki kufanyiwa presidential weeding? Usichezee hii nafasi. Kati ya wote waliotuma applications naona rejao ndiye atakufaa zaidi!!Rejao of all people? Itakuwa shughuli. Ujue mi kamanda, but we subiri tu nitatoa shortlist soon
Kwa staili hii nitapata kweli?
#
heheh Swahiba kwa hii hali inavyokwenda usje ukashangaa ikawa hata mods washajichanganya na sisi hapa kwa kutumia ID zao nyengine. Unaona mtu ana jina la ajabu ajabu kumbe PAW anapapatua mchumba lemonade.
take it from me.... 99.9999999% like it with no sugar added!!! and that AVATAR has no sugar added... "BEAUTY DE NATURALE"
Hope that remains a reality, siyo ya ya ********* LOL!!
Inamaana unanidisqualify mapema? Hutaki kufanyiwa presidential weeding? Usichezee hii nafasi. Kati ya wote waliotuma applications naona rejao ndiye atakufaa zaidi!!
I'm not hiring, so you dont need to show me your academic qualifications, just PM me and tell me a bit about you, your likes and dislikes...
Mmmh.Nimevutiwa sana na huu ujumbe.Siku hizi watu wanaamini kwamba wakitaka kuoa au kuolewa lazima wataje elimu yao. Mimi huwa najiuliza hilo ni tangazo la ajira.
Vipi kiasi cha pesa anachotakiwa kuwa nacho kwa mwezi. Wenzako huwa wanataja na kiasi cha pesa kama vile awe ana kipato cha milioni 2 kwa mwezi.
Best wishes.
karibu search line mtaftaji mwenzangu. BTW i wish all the best. me bdo wanasubir oral interview!
Safi! All the best, dont forget kuzingatia vigezo na masharti
Kweli! Mi nimefikia Isamilo kwa mwenyeji wangu lakini i'm still settling down. Nikishatulia nitakutafutando nimebase hapo wajina! umesema upo mwanza n dar me npo mwanza pia!
tafadhali nitafute. mimi nina vigezo vyote. i am serious, lady girl.
Kuwa makini na hizo application za wadau
Kuwa makini na hizo application za wadau