nimefanikiwa kupata nyimbo kama 3 (lord's prayer, freedom is coming, na mwingine umeandikwa kilugha hivi) tu katika 8 zilizo kwenye albam..na ndo hizo nilizokuwa nazo tangu mwanzo, nataka hizo zingine sasa!! hizo link nimejaribu napata hizo hizo tu nyingine ninazo kuja ukisearch na kudownload zinakuwa sio za sarafina