Natafuta soundtracks za Sarafina

Natafuta soundtracks za Sarafina

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,291
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta soundtracks zilizotumika kwenye muvi ya sarafina. Nimepata chache sana kwa kusearch online isitoshe nyingi zipo more modified. Kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia katika hili either anajua link ambayo anahisi ninaweza kupata nyimbo hizi kirahisi au kama anazo basi naomba tusaidiane wajameni.
 
SASA mzee waonaje ukinifanyia mpango wa hizo ulizopata...
 
Vitu vingine jifanyie mwenyewe mkuu!! hapo kipi kimekushinda...ni vizuri useme umekwama wapi
 
nimefanikiwa kupata nyimbo kama 3 (lord's prayer, freedom is coming, na mwingine umeandikwa kilugha hivi) tu katika 8 zilizo kwenye albam..na ndo hizo nilizokuwa nazo tangu mwanzo, nataka hizo zingine sasa!! hizo link nimejaribu napata hizo hizo tu nyingine ninazo kuja ukisearch na kudownload zinakuwa sio za sarafina
 
Back
Top Bottom