Natafuta Spare na fundi wa BMW X3

Natafuta Spare na fundi wa BMW X3

Watu wanamchulia Mjapan kizembe, niliiona Lexus ls430 model ya 2001 Ina hizo rain-sensing wiper nikashangaa tu.Watu wanadhani hizo tech Ni kitu kipya kumbe tangu 2001 zipo kwny magari ya watu.
Kama swala la sensor wipes kuna baadhi ya kluger niliona inayo ikiingia kwenye maji au ukimwagia maji mengi kioo cha mbele
 
Kama swala la sensor wipes kuna baadhi ya kluger niliona inayo ikiingia kwenye maji au ukimwagia maji mengi kioo cha mbele
Kluger Sikua nimefahamu.Ni kluger generation gani hio?1st au 2nd?Maana Kama Ni zile 3rd/ 4th siwezi nikashangaa.
 
BMW haiwez kujuliwa na akina fundi masawe ile ni very senstive sana haihitaji elimu ya darea la vii na kugonga nyundo inahitaji MECHANIC ENGEER ,aliyesoma acha kuwadanganya waru waharibiwe magari ,gari za ulaya sio toyo kila fundi anajifunzia zina smart inteligency...
Hakuna usmart wowote bmw 2007 kurudi nyuma ni kama kilitime tu mafundi weshazielewa. Kuzielewa simaanishi kuwa zigongwe nyundo, hata rav4 massawe haistahili kugongwa nyundo.
 
Waambie wanao kuhadithia hizi mambo wapunguze kukudanganya mzee.

27DF9F11-A896-4BAE-8C03-B9517795D3FC.jpeg
 
Mpelekee jamaa mmoja ana gereji Kawe mbele kidogo ya msikiti/opposite kituo cha daladala anaitwa Junior. Haya ndiyo magari anatengeneza 0712337744
 
kama upo Dar njoo PM nikupe namba ya reliable fundi

Kama huyo fundi anafanya biashara nadhani hawezi kukataa namba yake iwe shared, weka tu hapa kwa faida ya wengi, kama hutojali. Nadhani itasaidia na wengi. Asante
 
Back
Top Bottom