Raia Mtata
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 334
- 634
Wakuu habari zenu
Natafuta spea ya Sony Hometheatre, kifaa ninachotafuta ni zile gia nyeupe zinazozungusha CD na kusapoti mlango ufunguke. Katika Hometheatre yangu zimevunjika zote 3.
Mwenye nazo anicheki inbox au call 0784 884 950