Natafuta Spea ya Sony Hometheatre - Gia Nyeupe zinazozungusha CD

Raia Mtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2017
Posts
334
Reaction score
634
Wakuu habari zenu

Natafuta spea ya Sony Hometheatre, kifaa ninachotafuta ni zile gia nyeupe zinazozungusha CD na kusapoti mlango ufunguke. Katika Hometheatre yangu zimevunjika zote 3.

Mwenye nazo anicheki inbox au call 0784 884 950

​
 
Wakuu habari zenu

Natafuta spea ya Sony Hometheatre, kifaa ninachotafuta ni zile gia nyeupe zinazozungusha CD na kusapoti mlango ufunguke. Ktk hometheatre yangu zimèvunjika zote 3. Mwenye nazo anicheki inbox au call 0784 884 950
Taja jina lake la kitaalamu utasaidiwa kuzitafuta (labda bush, transistor nk). Pia taja model ya hiyo home theatre yako, ni Sony ngapingapi itarahisisha kusaidiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…