Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />nenda crdb au b blue
Baada ya kukosa udhamini wa serikali natafuta private sponsorship ili niweze kujiunga na chuo mapema mwezi ujao. Kuna mwenye uelewa wa namna na kutafuta sponsors? Naombeni mnisaidie!
Nijulishe matokeo yako na masomo uliyofanya mapema iwezekanavyo. Naweza kukusaidia lakini iwe haraka. Ni bora uweke na simu yako nikupigie
Sio Hmaster pekeake mkuu anashuda iyo tupo wengi sana tunatafuta sponsors..kama unamsaada naomba uniwezeshe na mm ntaku PM details zangu