Nilikuwa natafuta sponsors kwa kusponsor event ambayo itafanyika November mwaka huu,
Kama kuna mtu ambayo anaweza kusuggest makampuni ambayo wataweza kutusponsor au wanaweza kuwa interested na watataka more information wanaweza kunitumia email kwenye myoma.kapya@gmail.com