Natafuta sponsors kwaku sponsor event

Natafuta sponsors kwaku sponsor event

nadinemumu

Member
Joined
Jun 25, 2009
Posts
13
Reaction score
0
Habari zenu,

Nilikuwa natafuta sponsors kwa kusponsor event ambayo itafanyika November mwaka huu,

Kama kuna mtu ambayo anaweza kusuggest makampuni ambayo wataweza kutusponsor au wanaweza kuwa interested na watataka more information wanaweza kunitumia email kwenye myoma.kapya@gmail.com

Asante,

Myoma
 
Sponsors wengi wanapenda kujua watafaidikaje na event yako. Pia unatakiwa uwe backed na mtu maarufu hapo utawapata wwengi
 
Back
Top Bottom