Natafuta sukari guru

MINA

Member
Joined
Feb 22, 2011
Posts
7
Reaction score
2
Hello wana JF!
Jamani nna rafiki yupo somewhere nje ya nchi ameniambia anataka sukari guru (unfortified/unprosessed sugar)almost 1TON kuna mtu ana idea inapozalishwa hapa TZ nimejaribu kuuliza ktk viwanda vyote vya sukari hapa nchini wanasema hawana!any idea pleaseee!
 
Niliwahi ona wamama wanauza pale kariakoo,inaweza kuwa starting point kwako(kama upo dsm) .goodluck
 
Tunaomba contact zako. Sukari guru inapatikana kwa wingi.
 

Ukiweza kupata contacts za mbunge wa Babati Vijijini, utafanikiwa (cheki website ya bunge). He is into this kind of business!
 
Arusha pia inapatikana kwa wingi kwenye maduka mengi ya wahindi.... Nafikiri wanaweza kukusaidia kupata inapotengenezwa kama upo arusha.
 
Zamani wakati nipo Kilosa kulikuwa na viwanda vingi sana vya sukari guru. Unaweza kuulizia huko pia.
 
Nenda magugu babati kuna kiwanda cha sukari guru..wahindi wale wa kiru..ndio kazi zao..
 
Manyara sugar wanazalisha kama ulivyo elezwa, but hawa wahindi nazani wana soko lao mahali make huwa naona ma sem trela yao yameongozana yakiwa yamebeba hiyo sukari guru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…