Natafuta sukari Kali ya unga ya viwandani kwa ajili ya utengenezaji wa juice

mamba1

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
466
Reaction score
248
Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo.

Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa mwenye kufahamu wanapouza Rangi ya ukwaju.
 
Watafute hawa jamaa wanaitwa INGREDIENTS CENTER TZ ofisi zao zipo Mawasiliano karibu na duka la mr cadet
Wacheck insta kwa maelezo zaidi
 
Daaaahh badili kunielekeza naona watu wanabishana ninataka sugar concentrates kwa ajili ya kutengenezea chop stick
 
Watafute hawa jamaa wanaitwa INGREDIENTS CENTER TZ ofisi zao zipo Mawasiliano karibu na duka la mr cadet
Wacheck insta kwa maelezo zaidi
Nisaidiye namba zao maanake Instagram mie situmiii
 
Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo.

Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa mwenye kufahamu wanapouza Rangi ya ukwaju.
Ivi kama juice ni ya matunda una haja gani ya kuweka sukari? Mtatuua kwa hayo masukari enyi wajasiriamali chipukizi
 
  • Thanks
Reactions: apk

Labda kama unatengeneza yako binafsi ndo sukar ya tunda itakutosha. Lkn kama utaongeza maji umeshafanya dilution
 
Hivi unapata wapi ujasiri wa kunywa hayo ma-juice ya barabarani. Hujui walipotoa maji, pengine ni ya mferejini, kama huyo aliytengeneza alinawa baada ya kutoka chooni, au alikua anajikuna sehemu za siri uku anakata matunda, au alipengea makamasi.

Ni mara mia ninue juice za viwandani kama nitashindwa kuandaa mwenyewe nyumbani.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom