Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok tunatofautiana, mm ninaponunua juice wakakamua tunda tu linatoa juice bila kuweka maji yoyote, changamoto kama ni uswazi huwezi uza manake wanataka juice hadi ya sh 200 so lazima ujaze maji mengi na sukariLabda kama unatengeneza yako binafsi ndo sukar ya tunda itakutosha. Lkn kama utaongeza maji umeshafanya dilution
Alafu watengeneza juice ya miwa wengi ni wapemba na warangi, wachafu balaa!!hakuna juice chafu kama wauza juice za miwa, waandaji wenyewe ni wachafu hatari na bahati mbaya ule muwa lazima ushikwe na mikono kuurudishia kukamu, inzi wanajaa wengine wanasagiwa kwenye muwa.
Ninayo bossWadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo.
Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa mwenye kufahamu wanapouza Rangi ya ukwaju.