hakuna juice chafu kama wauza juice za miwa, waandaji wenyewe ni wachafu hatari na bahati mbaya ule muwa lazima ushikwe na mikono kuurudishia kukamu, inzi wanajaa wengine wanasagiwa kwenye muwa.
Ok tunatofautiana, mm ninaponunua juice wakakamua tunda tu linatoa juice bila kuweka maji yoyote, changamoto kama ni uswazi huwezi uza manake wanataka juice hadi ya sh 200 so lazima ujaze maji mengi na sukari