Nimejaribu kuipiga hiyo number haipatikani, tuwasiliane kwa e mail, [email protected] naweza supply hizoHabari wanajf natafuta supplier wa matunda yafuatayo strawberry,Raspberry na grapes.Tafadhali kama wewe ni supplier au unamfahamu mtu anayelima huko singida ,Arusha na Iringa,tuwasiliane kwa namba hii 0659566895.Natanguliza shukrani.