Habari Wakuu,
Nina sehemu zangu za biashara ya vinywaji (groceries) hapa Arusha ninapouza pombe za viwandani (bia,Konyagi n.k). Nataka siku za weekend niwe nauza pia pombe ya mbege.
Natafuta mtu wa uhakika ambaye ataniletea mbege safi kutoka maeneo ya Kilimanjaro hasa Kibosho.
Kama upo humu au unamfahamu mtu tafadhali tuwasiliane kwa namba 0676434611 au WhatsApp 0786817145. Natanguliza shukrani