Inakubidi uwe na cold room ya kuweza kuhifadhi hizo 20,000kgs hapa Dar au hakikisha una upgrade FRIGOREX ya gari iweze kuungwa kwenye umeme. Gari likifika Dar unalizima unaunga kwenye umeme. Kisha hakikisha unazo delivery points au HAKIKISHA unapata orders kwanza kutoka kwa retailers. Utatoka......am eyeing this angle so badly....nilinunua semi naona hazilipi kesi na madereva haziishi
mkuu CAMARADERIE, lengo langu ni kuwa transporter only, nikifika kwenye destination nina offload mzigo basi
hiyo idea ya cold room tunaweza kumuachia mleta mada - Goodsize akawa wholesaler ... ha ha haa