Barnaba Bushiri
Member
- Aug 1, 2020
- 46
- 26
Wanajamvi, kwa yeyote ambaye ana taarifa ya minada ya korosho kwa leo tarehe 9/10/2020 utujuze maana wiki jana zilitoka taarifa kwamba vyama vikuu vya ushirika RUNALI, TANECU na MAMCU vitaanza mnada wa kwanza tarehe ya leo.
Ni kweli imefanyika? Na kama kweli bei zikoje minadani? Naomba kuwasilisha.
Ni kweli imefanyika? Na kama kweli bei zikoje minadani? Naomba kuwasilisha.