Natafuta taarifa kuhusu minada ya korosho

Natafuta taarifa kuhusu minada ya korosho

Joined
Aug 1, 2020
Posts
46
Reaction score
26
Wanajamvi, kwa yeyote ambaye ana taarifa ya minada ya korosho kwa leo tarehe 9/10/2020 utujuze maana wiki jana zilitoka taarifa kwamba vyama vikuu vya ushirika RUNALI, TANECU na MAMCU vitaanza mnada wa kwanza tarehe ya leo.

Ni kweli imefanyika? Na kama kweli bei zikoje minadani? Naomba kuwasilisha.
 
Kuna sehemu nimesoma wanasema mnada utafanyika rasmi tarehe 10-10-2020 ule wa awali ulihairishwa kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo pamoja na vifungashio(magunia).
 
Naomba kujua bei ya korosho kwa mnada wa pili TANECU & MANCU. Ahsante!
 
Back
Top Bottom