Natafuta tafsiri ya Ndoto hii

Natafuta tafsiri ya Ndoto hii

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Naombeni tafsiri ya Ndoto hii.
somo rahis kwangu skuli ilikua ni Mathematics.

"Nimeota nafanya mtihani wa Math, Mwanzo napokea mtihani niliona mrahis na una maswali 10.
Cha ajabu nilipoanza kufanya huo mtihani, kila swala nililo anza nalo kufanya lilikua gumu balaaa..
hadi ndoto kuisha.
 
Hutakiwi kupuuzia Kila linalokuja katika Maisha yako, kuwa mtulivu katika kutafakari na kufanya tathimini, hakuna jambo jepesi usipokuwa mtulivu
 
Naombeni tafsiri ya Ndoto hii.
somo rahis kwangu skuli ilikua ni Mathematics.

"Nimeota nafanya mtihani wa Math, Mwanzo napokea mtihani niliona mrahis na una maswali 10.
Cha ajabu nilipoanza kufanya huo mtihani, kila swala nililo anza nalo kufanya lilikua gumu balaaa..
hadi ndoto kuisha.
Kuna jambo unataka kufanya linahushisha hesabu ndoto hiyo inakupa taarifa kwamba Una msingi mbovu wa hesabu kifikra na hii itakukwamisha
 
Hiyo ndoto natamani nikusaidie laikini muda sina. Kifupi ukiwa na uwezo wa kuota hivyo mshukuru mungu. Au ukiota upo tena shule unafanya mtihani na huuwezi shukurusana
 
Ukiota unafanya mtihan ukafeli, Kuna jambo unataka kufanya utafeli huna maandaliz mazuri
Exactly ingawa mi msomajimwandishi mzuri lakini jamaaana maono ya kiroho sana na hiyo ni tiba na akiyaka kuitumia aachane na jambo linalohusisha pesa iwe kuuza au kukopa au kununu kitu cha thamani . Naamini ana Plan inayohusu matumizi ya pesa inayomzidi uwezo basi akae autathimini vizuri mpango wake huo.
 
Hiyo iweke kwa maisha yako, tafakari yapoje kuna unayoweza unapata wakati mgumu nayo?

Sali haswaa
 
Ukiota unafanya mtihan ukafeli, Kuna jambo unataka kufanya utafeli huna maandaliz mazuri
Ni kweli tuna jambo ambalo tunataka kuanza kulifanya na Tupo watatu.

kiukweli mwenzangu amekua na papara sana ya Kutaka tuanze jambo hilo, na mimi mwanzo nilikua nashindwa kumwambia tupunguze haraka tujiandae kwanza.
nikiofia kuonekana mzembe
 
Ni kweli tuna jamba ambalo tunataka kuanza kulifanya na Tupo watatu.

kiukweli mwenzangu amekua na papara sana ya Kutaka tuanze jambo hilo, na mimi mwanzo nilikua nashindwa kumwambia tupunguze haraka tujiandae kwanza.
nikiofia kuonekana mzembe
Ndio maana nimekuambia hakuna jambo jepesi Likikosa utulivu
 
Umeota mahesabu??? au ulikua unawaza yale maneno "jambo letu lipo kwenye mahesabu"
 
Umeota mahesabu??? au ulikua unawaza yale maneno "jambo letu lipo kwenye mahesabu"
Maswali kalibia yote yalikua ya Mafumbo, na sikumbuki ni topiki zipi.

Kila nikijaribu ku-make equation, nashindwa, swali linakua gumu njiani.
 
Dunia imejaa mitihan ya kila namna
 
Back
Top Bottom