Natafuta tajiri wa kufanyanae kazi ya bolt/uber, asiwe mbabaifu kwasababu mimi sio mbabaifu

Moha 255

Member
Joined
Apr 29, 2025
Posts
15
Reaction score
17
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.. mimi kijana wenu mitiifu Mohammed nipo dar-es-salaam natafuta gari ya kufanyia biashara ya bolt/uber, kwa upande wangu nimekamilika Niko na kila kitu ambacho driver anatakiwa kuwa nacho ikiwemo platform zote za hii industry

Hivyo basi Kama yupo ambaye yupo tayari tufanye kazi Hakuna ubabaifu ninauzoefu niko na family niko na malengo hivyo kila kitu kitakuwa sawa na boss hutopata sonona

0711347096/my number
 
Yaani wewe ndo utakuta ni mbabaifu namba moja ndo maana mpaka sasa huna gari lakufanyia kazi
Madereva kama ninyi ni visukari na presha, nakuombea usipate kabisa maana unanikumbusha dereva moja alikuja kwa kauli yako iyo iyo ambaye najuta kumpatia gari langu
 
Mkuu nasisitiza Tena Kama wewe sio fogo ( tajiri) au ni fogo (tajiri) Sawa lakini hauko tayari kufanya hii biashara kutokana na majambo yaliyokukuta (pole) plz usihalibu kazi za watu tafadhali mimi ni kijana najitafuta Kama una mapito yako yanayo husiana na hii biashara (nikitukizuri pia kuwataarifu ma fogo (tajiri) Wenzako) basi tafuta muda tengeneza uzi wako na Ahsante kwa Dua yako thanks.
 
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.. mimi kijana wenu mitiifu Mohammed nipo dar-es-salaam natafuta gari ya kufanyia biashara ya bolt/uber, kwa upande wangu nimekamilika Niko na kila kitu ambacho driver anatakiwa kuwa nacho ikiwemo platform zote za hii industry

Hivyo basi Kama yupo ambaye yupo tayari tufanye kazi Hakuna ubabaifu ninauzoefu niko na family niko na malengo hivyo kila kitu kitakuwa sawa na boss hutopata sonona

0711347096/my number

"Kuja tafuta kaji kono nyuma, sasa kwisha pata kaji kono mbele." Alisikika ponjoro mmoja kinondoni akikalalama.
 
Mkuu nasisitiza Tena Kama wewe sio fogo ( tajiri) au ni fogo (tajiri) Sawa lakini hauko tayari kufanya hii biashara kutokana na majambo yaliyokukuta (pole) plz usihalibu kazi za watu tafadhali mimi ni kijana najitafuta Kama una mapito yako yanayo husiana na hii biashara (nikitukizuri pia kuwataarifu ma fogo (tajiri) Wenzako) basi tafuta muda tengeneza uzi wako na Ahsante kwa Dua yako thanks.
Daah nimeshangaa muhuni anakuombea dua mbaya kwa mapito yake aisee yaani hataki ufanikiwe kupata gari la kuendesha tu na sio la kununua kweli Bongo ni kiboko aisee tunapitia mengi sana Mungu atusimamie tu..
 
Pole sana mkuu, watu wanatofautiana sio wote ni wabaya

Daah nimeshangaa muhuni anakuombea dua mbaya kwa mapito yake aisee yaani hataki ufanikiwe kupata gari la kuendesha tu na sio la kununua kweli Bongo ni kiboko aisee tunapitia mengi sana Mungu atusimamie tu..
Eti, kiukweli nimehuzunika sana…Na kilichoniuma zaidi ni kwamba mimi Hatujuani na nilienda mbali zaidi je? Watu wake wa nyumbani wanahaligani especially (familia yake) 😂
 
Back
Top Bottom