Codename96
Member
- Sep 17, 2020
- 90
- 85
Asante sana. Ntakwenda kurasini kuulizia. Wapo pale maeneo ya kota ?Kurasini basketball club
Asante sana. Sigara ipo sehemu gani ? Maana huwa naisikia tu, sijawahi kwendaNenda Kurasini hapo...au kwa kuepuka usumbufu na upate information vizuri nenda kadunde hapo viwanja vya Sigara kisha utawauliza players kuhusu timu nyingi Temeke...maana sidhani kama unaweza tu kwenda timu kama JKT ukafanya mazoezi then ucheze nao ligi.
Hii ipo wapi ?Tanblacks! 70s Na 80s
Temeke, Chang'ombe maduka mawili.Asante sana. Sigara ipo sehemu gani ? Maana huwa naisikia tu, sijawahi kwenda
Alright! Nimekuelewa. Kwahiyo kumbe kabla hujafika Tameko, kuna basketball court baada ya kuvuka shule ya Kibasila ?Temeke, Chang'ombe maduka mawili.
Asante sana. Mgulani nilienda kaka, Mgulani wanaofanya mazoezi ni timu ya Jeshi na timu ya shule. Hawaruhusu outsider pale.Nenda pale JKT mgulani huwa wanafanyia mazoezi pale
Kama unatokea chuo Cha VETA kwenda Temeke shuka kituo kinaitwa Maduka mawili, ulizia ilipo sigara club ni hatua chache kutokea apo kituoni.Alright! Nimekuelewa. Kwahiyo kumbe kabla hujafika Tameko, kuna basketball court baada ya kuvuka shule ya Kibasila ?
Thanks a lotKama unatokea chuo Cha VETA kwenda Temeke shuka kituo kinaitwa Maduka mawili, ulizia ilipo sigara club ni hatua chache kutokea apo kituoni.
Wewe tayari ni mchezaji au bigginer?Thanks a lot
Ni beginner ila nina idea ya Basketball, kwa sababu nimetizama sana RBA na NBA kidogo sana. Urefu wangu ni 5.9 feet.Wewe tayari ni mchezaji au bigginer?
Tennis sio team sport neans kama unapenda kucheza huitaji team, tafuta company tu na good coach.Hivi timu za tenes kama wanazocheza Serena Williams kwa hapa zipo kila mkoa?
Tennis sio team sport neans kama unapenda kucheza huitaji team, tafuta company tu na good coach.
Safi sana, urefu mzuri kikubwa jitihada, mim nilianza kufundishwa na Mwalimu nikiwa na miaka 27. ilinichukua miezi sita kuanza kuaminika baada ya apo sikumbuki Kama nikiwa mzima niliwahi kukosa kucheza mechi yoyote mbaka naacha kucheza 2013.Ni beginner ila nina idea ya Basketball, kwa sababu nimetizama sana RBA na NBA kidogo sana. Urefu wangu ni 5.9 feet.