Natafuta Team ya Basketball iliyopo wilaya ya Temeke

Natafuta Team ya Basketball iliyopo wilaya ya Temeke

Safi sana, urefu mzuri kikubwa jitihada, mim nilianza kufundishwa na Mwalimu nikiwa na miaka 27. ilinichukua miezi sita kuanza kuaminika baada ya apo sikumbuki Kama nikiwa mzima niliwahi kukosa kucheza mechi yoyote mbaka naacha kucheza 2013.
Experience yako ni nzuri sana. Basketball sio kama football, katika football unaweza ukaingia tu from nowhere na ukaweza kuadapt fasta ila basketball inataka mazoezi SANAAA. Ndo mana ilikuchukua miezi sita. Lakini nna uhakika kabla ya kuwa STARTER ulipata exposure ya kutokea benchi. Nnachopendea basketball ni kuwa kuna uhakika kila mtu kucheza kwa sababu sub haziko limited. Kwahiyo naamini ntapata nafasi as a beginner hata kwa dakika mbili kila mechi.
 
Thanks so much brother, you showed me a range of options. Ila naona niende hapo TCC maana timu yao inachezaga mashindano makubwa. Wewe unacheza timu gani ?
Nenda Maduka Mawili Sigara TCC kuna Chang'ombe Boys,nenda Mgulani Jeshini,nenda Temeke Mikoroshini kuna Kituo cha Vijana Don Bosco kuna timu ya Basketball pale.
 
Thanks so much brother, you showed me a range of options. Ila naona niende hapo TCC maana timu yao inachezaga mashindano makubwa. Wewe unacheza timu gani ?
Ok but hata hawa Don Bosco Temeke Rockets wanacheza pia mashindano makubwa,ni ndugu moja na Savio Don Bosco ya Upanga.
 
Back
Top Bottom