Codename96
Member
- Sep 17, 2020
- 90
- 85
- Thread starter
-
- #21
Experience yako ni nzuri sana. Basketball sio kama football, katika football unaweza ukaingia tu from nowhere na ukaweza kuadapt fasta ila basketball inataka mazoezi SANAAA. Ndo mana ilikuchukua miezi sita. Lakini nna uhakika kabla ya kuwa STARTER ulipata exposure ya kutokea benchi. Nnachopendea basketball ni kuwa kuna uhakika kila mtu kucheza kwa sababu sub haziko limited. Kwahiyo naamini ntapata nafasi as a beginner hata kwa dakika mbili kila mechi.Safi sana, urefu mzuri kikubwa jitihada, mim nilianza kufundishwa na Mwalimu nikiwa na miaka 27. ilinichukua miezi sita kuanza kuaminika baada ya apo sikumbuki Kama nikiwa mzima niliwahi kukosa kucheza mechi yoyote mbaka naacha kucheza 2013.