natafuta tempo teachng

natafuta tempo teachng

Ajiajiri kwa kufanya nini?
Wasomi wengi hapa Tanzania, tunashindwa kujiajiri kwa sababu za kiuchumi, sio kwamba tunapenda kuajiriwa.

Ndugu, tafuta kazi either ya kuajiriwa au kujiajiri.
 
asante Dzudzuku mana wanaosema kujiajiri hawaangalii upande mwingine, ila labda wakinisapoti ktk kujiajiri nitafanya hivyo
 
Tembelea kwenye mashule mguu kwa mguu utapata kaz then ungekuwa specific kuwa umesoma chuo gan ungematter zaid-ila kama ungekuwa upo kigoma ingekuwa poa zaid
 
Tembelea kwenye mashule mguu kwa mguu utapata kaz then ungekuwa specific kuwa umesoma chuo gan ungematter zaid-ila kama ungekuwa upo kigoma ingekuwa poa zaid

wiki ijayo ndo ntakuja kgm....home ni mwanga majengo.
 
Mnaishia kusema ajiari. Mpe na mwanga pa kuanzia
 
Back
Top Bottom