Natafuta tempo ya kufundisha.

Natafuta tempo ya kufundisha.

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
Natafuta tempo ya kufundisha sekondari kuanzia form one hadi six, nafundisha masomo ya civ, geography na general studies. nina uzoefu wa miaka minne na ushei. nicall ktk 0714-408238. sina bei kubwa.
 
Huna bei kubwa! Unaanzia sh. ngapi?

Are professioanal from recognised college/university?
 
Nna wasiwasi na elimu yako...kila mwaka serikali inatoa ajira we tu ndo hujaajiriwa!?..
 
Masomo hayo walimu/wafundishaji wapo weengi sana. Nina waswas unaweza usipate. Ingekuwa Phyisics, Chemistry, Maths ingelipa
 
Back
Top Bottom