Natafuta tenda jamani

Natafuta tenda jamani

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habari waungwana

Mwenzenu ni mjasiliamali hivyo nashughulika na mambo ya kutengeneza BATIK MATERIAL mbalimbali, kama kuna kampuni, watu, Ngo's wanataka kutengenezewa batik katika uniform zao nitafanya na vilevile nashughulika na mambo ya Printing hususani nimelenga katika kuprint Tshirt, caps, magazine, posters, brochures,banners business cards, wedding card, Sendoff cards,n.k. Hivyo kwa yeyote anayetaka kufanyiwa huduma hizi naitaji tenda hiyo niifanye na tutapatana katika viwango vya bei, usisite kunitwangia kule pm nami nitakuwa tayari katika kuwasiliana nawe. Don't jokes
 
Back
Top Bottom