Natafuta tenda ya ku-supply samaki sato kutoka Mwanza

Natafuta tenda ya ku-supply samaki sato kutoka Mwanza

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,212
Ninauwezo wakupata samaki sato wakubwa zaidi ya 30 kila siku, mwenye hotel au mwenye kuitaji naomba tuwasiliane,
 
Unauza bei gani na ukubwa wa hao sato ni kg ngapi?
 
Weka bei ya Kilo,pia unatumia njia gani kuwasafirisha kutoka Mwanza kuja Dar.
Na wastan wa kilo moja wanakuwa Sato wangapi,hiyo itatupa tathmini ya kuwajua ukubwa wake ni cm ngapi.
 
ukubwa wake unaanzia kilo moja na zaidi, nauza Tshs 5500 kwa kilo, kwa walio nje ya mwanza tunaweza panga jinsi gani wanaweza kukufikia..
 
ukubwa wake unaanzia kilo moja na zaidi, nauza Tshs 5500 kwa kilo, kwa walio nje ya mwanza tunaweza panga jinsi gani wanaweza kukufikia..

Mimi pia nahítaji kwa beí ya 5000 kwa kg hadi kunifikia..Arusha. Nahitaji kuanzia 100kgs hdi 300kgs kwa week.
 
Mimi pia nahítaji kwa beí ya 5000 kwa kg hadi kunifikia..Arusha. Nahitaji kuanzia 100kgs hdi 300kgs kwa week.

kama utalipa gharama za usafiri tunaweza fanya biashara, maana kwa Mwanza kuna watu wananunua kwaiyo bei.
 
Ok vizuri sana. Mimi nataka kuanzisha biashara ya samaki wabichi Morogoro. Je naweza kupata constant supply ya samaki aina ya sato na sngara toka Mwanza?
 
kama utalipa gharama za usafiri tunaweza fanya biashara, maana kwa Mwanza kuna watu wananunua kwaiyo bei.

Bwana Mayombo@ hapa tunaongea biashara hebu nipe kítaalamu mie nahitaji kwa bei hyo na je usafiri unakua bei gani kwa kilo nilizokuambia yaani kuanzi kilo 100kgs..na wanakaa muda gani tangu wanapotoka ziwani hadi kusafirishwa.? Tafadhali hebu niainishie tafadhali iko vpi na usafiri ni wa mabasi au fusos. arusha
 
Last edited by a moderator:

sorry. .katika pita yangu humu nimektana na huu Uzi,vipi unayo nia kuhusiana na samaki kutoka mwanza? nimewahi fanya hii biashara lakini niliacha baada ya kukosa mteja wa uhakika. .kama unayo nia hiyo nitafte tuongee pengine tunaweza fanya biashara pamoja. .0766453675
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom