Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Ninauwezo wakupata samaki sato wakubwa zaidi ya 30 kila siku, mwenye hotel au mwenye kuitaji naomba tuwasiliane,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukubwa wake unaanzia kilo moja na zaidi, nauza Tshs 5500 kwa kilo, kwa walio nje ya mwanza tunaweza panga jinsi gani wanaweza kukufikia..
Mimi pia nahítaji kwa beí ya 5000 kwa kg hadi kunifikia..Arusha. Nahitaji kuanzia 100kgs hdi 300kgs kwa week.
kama utalipa gharama za usafiri tunaweza fanya biashara, maana kwa Mwanza kuna watu wananunua kwaiyo bei.
Bwana Mayombo@ hapa tunaongea biashara hebu nipe kítaalamu mie nahitaji kwa bei hyo na je usafiri unakua bei gani kwa kilo nilizokuambia yaani kuanzi kilo 100kgs..na wanakaa muda gani tangu wanapotoka ziwani hadi kusafirishwa.? Tafadhali hebu niainishie tafadhali iko vpi na usafiri ni wa mabasi au fusos. arusha