natafuta tenda ya kusupply vyakula

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
habari wanaJF,nina kampuni inayodili na biashara ya vyakula na nyinginezo,natafuta tenda ya kusambaza vyakula,popote hapa TZ.
 
habari wanaJF,nina kampuni inayodili na biashara ya vyakula na nyinginezo,natafuta tenda ya kusambaza vyakula,popote hapa TZ.
Vyakula vya aina gani? mifugo, vilivyopikwa, elezea vizuri mdau maelezo yako yako too short ili hata wenye uhitaji waweze kuelewa una supply vyakula vya aina gani na uwezo wako ni upi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…